JUMA KASEJA AFUNGUKA HAYA BAADA YA KUSTAAFU


Upload : 13 May 2017 - 16:46


mlinda mlango mahiri hapa nchini

JUMA KASEJA

ambaye kwa sasa anachezea timu ya

KAGERA SUGAR

amesema kuwa baada ya kustaafu atakuwa mtangazaji wa

RADIO AU TELEVISIONmlinda mlango huyo ameyasema hayo baada ya kuhojiwa na waandishi wa habari na kusema -->

kila kitu kinahitaji elimu ila mimi nitaanza kutangaza hivi hivi nilivyo ila kadri mda utakavyozidi kwenda nitahitaji kujiendeleza na shule ili niwe mtangazaji mzuri zaidi

ALISEMA KASEJA

Tags :

Comments

0 Responds for "JUMA KASEJA AFUNGUKA HAYA BAADA YA KUSTAAFU"

Empty comment.

New Comment

You may use these HTML tags and attributes: <a href="" title=""> <abbr title=""> <acronym title=""> <b> <blockquote cite=""> <cite> <code> <del datetime=""> <em> <i> <q cite=""> <strong>
Please refresh...

Smiley