SAIMON MSUVA YANGA ACHANIKA USO ====>


Upload : 14 May 2017 - 17:58


SAIMON MSUVA

ambaye jana aliipatia yanga gori la kwanza katika dakika ya saba 7 ya mchezo ambapo yanga walicheza na mbeya city,,

kwa msiojua msuva aliumia dakika za mwanzo na kupelekea kutoka mchezoni baada ya kugongana na mchezaji wa mbeya city wakati akifunga gori...

kwa mujibu wa taarifa ya daktari wa yanga inasema kuwa "

saimon msuva ameumia sehemu ya juu ya uso wake baada ya kugongana na mchezaji wa mbeya city wakati akifunga gori lake la 14 kwenye ligi kuu tanzania bara ambapo imemlazim kushonwa nyuzi 4....

saimon msuva kwa sasa ndie anaongoza kwa ufungaji wa magori katka ligi kuu tanzania bara akiwa na magori 14

Tags :